Kenya Milli Marşı

'Ülkeler' forumunda YAREN tarafından 5 Oca 2011 tarihinde açılan konu

 1. Kenya Milli Marşının Sözleri, Kenya Ulusal Marşı

  KENYA ÜLKESİ MİLLİ MARŞI

  (verse:1)

  Ee Mungu nguvu yetu
  Ilete baraka kwetu

  Haki iwe ngao na mlinzi
  Natukae na udugu

  Amani na uhuru
  Raha tupate na ustawi.

  (verse:2)

  Amkeni ndugu zetu
  Tufanye sote bidii

  Nasi tujitoe kwa nguvu
  Nchi yetu ya Kenya

  Tunayoipenda
  Tuwe tayari kuilinda

  (verse:3)

  Natujenge taifa letu
  Ee, ndio wajibu wetu

  Kenya istahili heshima
  Tuungane mikono

  Pamoja kazini
  Kila siku tuwe na shukrani
   
Yükleniyor...
Benzer Konular - Kenya Milli Marşı
 1. Züleyha
  Yanıt:
  0
  Gösterim:
  129
 2. zamaneanne
  Yanıt:
  0
  Gösterim:
  1,823
 3. zamaneanne
  Yanıt:
  0
  Gösterim:
  589
 4. Merve
  Yanıt:
  0
  Gösterim:
  616
 5. zamaneanne
  Yanıt:
  0
  Gösterim:
  1,424